CoSIS
Password recovery (Fill the below form)
Note: Utapokea password yako kwa sms mara 3 tu kwa mwezi vinginevyo utatumiwa password kwa njia ya barua pepe (email) iliyosajiliwa kwenye akaunti yako. Hakikisha umekamilisha usajili vinginevyo nenda ofisi ya admission ukakamilishe usajili wako (Usajili unafanyika kwa waliolipa ada ya awamu ya kwanza ambayo ni laki 1 na bima ambayo ni 50,400 TZS), kumbuka kwenda na risiti zako za malipo ofisi ya admission kwa ajili ya usajili.
Kama unatumia namba ya halotel, unashauriwa ubadilishe na uweke namba ya mtandao mwingine kwa sababu ya changamoto ya kupokea sms kutoka kwenye mfumo (Kuchelewa au kutokupokea kabisa).
Kama hutopokea sms baada ya kubofya button ya "Recover" mara moja, tafadhali nenda admission office ukahakiki namba ya simu iliyopo kwenye account yako kama ndyo unayotumia, baada ya hapo fanya tena password recovery.